Wakati watu tukitumia manukato ‘air freshner ‘
kwa ajili ya kupulizia nyumba zetu ili zinukie lakini
kuna wengine hutumia kwa matumizi mengine
ambayo kwa kawaida yanaweza kukushangaza
hata wewe.
Evelyne mwenye miaka 27 raia wa Missouri,
Marekani , amekiri kuwa yeye hupendelea kunywa
mvuke wa air freshner na anasema alianza tabia
hiyo akiwa na umri wa miaka 20.
Anasema kawaida anaweza kumaliza makopo 20 ya
manukato hayo ndani ya siku saba na alivutiwa
nayo kwa mara ya kwanza wakati anakunywa juisi
na manukato hayo kuingia ndani ya glasi yake.
“Natambua kuwa ina madhara kiafya lakini
ninapoitumia hujisikia raha na sioni kama ina
tatizo lolote kwangu”- Evelyne
Ijumaa, 20 Februari 2015
Duniani kuna vituko vya kila aina ebu msikie huyu
Jumatano, 4 Februari 2015
NDEGE NYINGINE YAANGUKA TAIWAN
Ndege inayomilikiwa na shirika la ndege la Taiwan (TransAsia) imepata ajali na kuangukia kwenye mto Keelung mji wa Taipei na kuua watu zaidi ya 20.
Taarifa zinasema kuwa watu 58 walikuwa ndani ya ndege hiyo huku watu wameokolewa na kukimbizwa hospitalini na wengine wasiozidi 10 wamenasa katika ndege ambapo waokoaji wamelazimika kuikata ndege hio hili kuokoa watu wengine ambao bado wapo ndani.
Ndege hio ilipita karibu na magari na kudondoka mtoni mda mfupi baada ya kuruka kutoka uwanja wa ndege wa Songdshan Taipei kuelekea uwanja wa ndege Kinmen nje ya Taïwan huku chanzo cha ajari kikiwa bado hakijajulikana.
Jumanne, 3 Februari 2015
Man u yafanya kweli
Jana usiku wakiwa kwenye uwanja wao wa nyumbani old Trafford vijana wa Luis Van Gal waliweza kuchomoza na ushindi wa jumla ya magoli matatu kwa bila magoli yaliyofungwa na kiungo Juan Mata Garcia likiwa goli lake la kwanza kwenye Kombe la FA na la 12 akiwa na mashetani hao wekundu goli la pili lilitupiwa kimiani na beki Marcos Rojo naye likiwa goli lake la kwanza ndani ya man u, goli la tatu lilifungwa na mshambuliaji kijana James Williams aliyeingia kipindi cha pili kuchua nafasi ya RVP.. Sasa Man u watakutana na Preston North kwenye round ya tano, man u itasafiri kuwafata wapinzani wao huko Preston North.
SABABU ILIYOMFANYA WAZIRI WA RAIS MAGUFULI KUJIUZULU LEO HII HAPA LIVE!
! Taarifa :Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, George Simbachawene amejiuzulu. Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene ametangaza ...
-
Wakati watu tukitumia manukato ‘air freshner ‘ kwa ajili ya kupulizia nyumba zetu ili zinukie lakini kuna wengine hutumia kwa matumizi men...
-
Ali Salehe Kiba #KINGKIBA Msanii Alikiba ambaye sasa anatamba na ngoma yake mpya 'Seduce me' amefunguka na kuwap...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo ...