Jumanne, 3 Februari 2015

Man u yafanya kweli

Jana usiku wakiwa kwenye uwanja wao wa nyumbani old Trafford vijana wa Luis Van Gal waliweza kuchomoza na ushindi wa jumla ya magoli matatu kwa bila magoli yaliyofungwa na kiungo Juan Mata Garcia likiwa goli lake la kwanza kwenye Kombe la FA na la 12 akiwa na mashetani hao wekundu goli la pili lilitupiwa kimiani na beki Marcos Rojo naye likiwa goli lake la kwanza ndani ya man u, goli la tatu lilifungwa na mshambuliaji kijana James Williams aliyeingia kipindi cha pili kuchua nafasi ya RVP.. Sasa Man u watakutana na Preston North kwenye round ya tano, man u itasafiri kuwafata wapinzani wao huko Preston North.

Maoni 2 :

SABABU ILIYOMFANYA WAZIRI WA RAIS MAGUFULI KUJIUZULU LEO HII HAPA LIVE!

! Taarifa :Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, George Simbachawene amejiuzulu. Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene ametangaza ...