Ijumaa, 20 Februari 2015

Duniani kuna vituko vya kila aina ebu msikie huyu

Wakati watu tukitumia manukato ‘air freshner ‘
kwa ajili ya kupulizia nyumba zetu ili zinukie lakini
kuna wengine hutumia kwa matumizi mengine
ambayo kwa kawaida yanaweza kukushangaza
hata wewe.
Evelyne mwenye miaka 27 raia wa Missouri,
Marekani , amekiri kuwa yeye hupendelea kunywa
mvuke wa air freshner na anasema alianza tabia
hiyo akiwa na umri wa miaka 20.
Anasema kawaida anaweza kumaliza makopo 20 ya
manukato hayo ndani ya siku saba na alivutiwa
nayo kwa mara ya kwanza wakati anakunywa juisi
na manukato hayo kuingia ndani ya glasi yake.
“Natambua kuwa ina madhara kiafya lakini
ninapoitumia hujisikia raha na sioni kama ina
tatizo lolote kwangu”- Evelyne

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

SABABU ILIYOMFANYA WAZIRI WA RAIS MAGUFULI KUJIUZULU LEO HII HAPA LIVE!

! Taarifa :Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, George Simbachawene amejiuzulu. Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene ametangaza ...