Jana usiku wakiwa kwenye uwanja wao wa nyumbani old Trafford vijana wa Luis Van Gal waliweza kuchomoza na ushindi wa jumla ya magoli matatu kwa bila magoli yaliyofungwa na kiungo Juan Mata Garcia likiwa goli lake la kwanza kwenye Kombe la FA na la 12 akiwa na mashetani hao wekundu goli la pili lilitupiwa kimiani na beki Marcos Rojo naye likiwa goli lake la kwanza ndani ya man u, goli la tatu lilifungwa na mshambuliaji kijana James Williams aliyeingia kipindi cha pili kuchua nafasi ya RVP.. Sasa Man u watakutana na Preston North kwenye round ya tano, man u itasafiri kuwafata wapinzani wao huko Preston North.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
SABABU ILIYOMFANYA WAZIRI WA RAIS MAGUFULI KUJIUZULU LEO HII HAPA LIVE!
! Taarifa :Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, George Simbachawene amejiuzulu. Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene ametangaza ...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo ...
-
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amefunguka na kusema kuwa jeshi hilo linaendelea kumshikilia kijana Samson Peter (...
-
Princess Diana enzi za uhai wake. Siku ya mazishi ya Princess Diana. Siku ya mazishi ya Princess Diana. Mahali alipozikwa....
safi sanaa na bado tutakaa sawa tuu
JibuFutaOkay kijana hongereni mkaze buti sasa
JibuFuta